JOSE MARA ASEMA HIRIZI ZINGEKUWA ‘DILI’ WENGI TUNGEISHI MASAKI


MWIMBAJI na boss wa bendi ya Mapacha, Jose Mara amesema hirizi ingekuwa ndio mpango mzima wengi tungeishi Masaki.

Jose Mara ambaye huwa hakaukiwi misemo, aliyasema hayo kupitia ukurusa wake wa Instagram  mwishoni mwa mwezi huu.


Ni ujumbe uliojaa mzaha lakini wenye maana kubwa sana …kwamba hirizi si mali kitu zaidi ya kudanganya na kupotezeana muda. Kazi ndio mpango mzima.

Ukitaka kukutana na vimbwanga vya Jose Mara vitakavyokuvunja mbavu tembelea Mapacha Music Band pale Meridian Hotel (Club Masai) Kinondoni Kila Jumapili.

No comments