JOSE MOURINHO ADAI ANA FURAHA TANGU ALIPOITWAA MAN UNITED KUTOKA KWA LOUIS VAN GAAL

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho amejipoza kiume akidai kuwa ana furaha tangu alipoichukua timu kutoka kwa mtangulizi wake Lois Van Gaal mwanzoni mwa msimu huu.

No comments