JOSE MOURINHO APANIA KUINASA SAINI YA RIVAN RAKITIC WA BARCELONA KAMA PACHA WA POGBA

KOCHA Jose Mourinho amedhamiria kumsajili kiungo Rivan Rakitic kutoka Barcelona wakati aimsaka pacha wa Paul Pogba Old Trafford.

No comments