JURGEN KLOPP AKUSUDIA KUFANYA MAZUNGUMZO NA JOE HART

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp ameonyesha nia ya kutaka kufanya mazungumzo na mlinda mlango wa Man City ambaye anakipiga kwa mkopo katika klabu ya Torino, Joe Hart kwa ajili ya kumsajili wakati wa majira ya joto.


Hata hivyo, Chelsea nao wameonyesha nia.

No comments