JUVENTUS YAHAHA KUZIBA PENGO LA POGBA... yaanza mazungumzo na Toni Kroos wa Real Madrid

BAADA ya kuondoka kwa kiungo wa klabu ya Juventus, Paul Pogba na kujiunga na Man United, klabu hiyo inaangaika kutafuta mchezaji wa kuziba nafasi hiyo.


Inadaiwa klabu hiyo imeanza mazungumzo na nyota wa klabu ya Real Madrid, Toni Kroos.

No comments