Habari

KAMA ULIKOSA SHOW YA ISHA MASHAUZI NA LEYLA RASHID MANGO GARDEN TUPIA MACHO PICHA 25 ZA MTANANGE HUO

on

Isha Mashauzi
na Leyla Rashid Alhamisi iliyopita walimimina uhondo wa aina yake ndani ya ukumbi
wa Mango Garden Kinondoni.
Wakali hao
wawili wakasindikizwa na bendi zao za Jahazi Modern Taarab na Mashauz Classic
na kufanya umati mkubwa uliohudhuria onyesho hilo upate burudani iliyokwenda
shule.
Tupia macho
picha 25 za onyesho hilo lililoacha simulizi kubwa Kinondoni.
Ally Jay wa Jahazi akisisimua na kinanda chake
 Isha Mashauzi
 Isha akisukuma masauti yake matamu
 Isha akenda kumtunza Leyla Rashid
 Isha jukwaani
 Leyla Rashid akifanya yake
 Leyla naye akimtunza Isha
 Leyla Rashid
 Leyla mbele ya umati wa mashabiki
 Isha mbele ya nyomi la kufa mtu
 Mishi Zere wa Jahazi aliitingisha Mango Garden kupitia wimbo wake wa “Nia Safi Hairogwi”
 Mosi Shaaban mwimbaji nyota aliyejiunga na Jahazi
 Mwimbaji mkongwe Mwanamtama Amir akifurahia jambo wakati wa onyesho la Isha  na Leyla
 Wadau wa burudani nao wakaongeza raha ya burudani kwa kuleta ndafu
 Ndafu ikiandaliwa kwa hisani ya Mama Advocate Maureen Mnyele
 Shangwe juu ya shangwe
 Nyomi
 Mdau Maureen Mnyele (kushoto) na mdau Poti Poti  waburudika na goma la Mashauzi
 Saida Ramadhan na kitu “Pendo la Ukakasi”
 Saida Ramadhan
 Mdau Maureen pamoja na Judith Marcus (wa pili kutoka kulia) wakishiriki kupiga kura kujua nani aanze onyesho kati ya Isha na Leyla
Jumanne Ulaya wa Jahazi na solo lake

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *