KIBAO KATA, BAIKOKO KUITIKISA JM NIGHT CLUB MANZESE ALHAMISI HII …wakali wa Singeli nao ndani


WAKAZI wa Manzese Alhamisi hii watakuwa na nafasi ya kula uhondo wa ngoma ya Kibao Kata ndani ya ukumbi wa kisasa wa JM Night Club.

Lakini si Kibao Kata peke yake bali pia kutakuwa na ngoma ya Baikoko kutoka Tanga bila kusahau mchuano wa wakali wa Singeli MC Sudy na Abdala Ponela.

Tupia macho hapo nchini kwenye tangazo linaloonyesha kila kitakachojiri ndani ya JM Night Club.


No comments