KIPA STEVE MANDANDA AWEKA BAYANA NIA YAKE YA KUTAKA KUSEPA CRYSTAL PALACE


MLINDA mlango wa klabu ya Crystal Palace, Steve Mandanda ameweka wazi kuwa anataka kuondoka ndani ya klabu hiyo na kutaka kujiunga na klabu kubwa nchini England. Hata hivyo mchezaji huyo amedai kuwa aikosa nafasi atarudi katika kikosi chake cha zamani cha Marseille.

No comments