KIPA THIBAUT COURTOIS WA CHELSEA AWINDWA NA REAL MADRID... Joe Hart kuchukua nafasi yake kama "atasepa"

KIPA wa Chelsea, Thibaut Courtois, 24, anasakwa na klabu ya Real Madrid lakini klabu yake haiku tayari kumwacha ila akiondoka huenda kipa wa Manchester City, Joe Hart, 29, atachukua nafasi yake.

No comments