KLABU KUBWA EPL ZATUMA WAWAKILISHI PORTO KUMWANIA ANDRE SILVA


KLABU kubwa ambazo zinashiriki Ligi Kuu nchini England kama vile Chelea, Arsenal, Liverpool, Manchester City na Manchester United wametuma wawakilishi wao katika klabu ya Porto kwa ajili ya kuisaka saini ya mshambuliaji wa timu hiyo, Andre Silva.

No comments