KLOPP AMSHUTUMU BEKI WA BOURNEMOUTH KWA MATAMSHI YAKE DHIDI YA KIPA LORIS KARIUS

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp ameshutumu matamshi ya beki wa timu ya Bournemouth, Steve Cook dhidi ya kipa wake, Loris Karius.

No comments