KLOPP ASEMA HAJUI KWANINI WACHEZAJI WANAKIMBILIA KWENDA KUKIPIGA CHINA

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema anashindwa kuelewa kwanini wachezaji wanakimbilia kwenda kucheza soka Ligi Kuu ya China.


Oscar ni mmoja kati ya wachezaji wa hivi karibuni kutimkia China kwa mshahara wa pauni 400,000 kwa wiki.

No comments