KOCHA SAM ALLARDAYCE AULAMBA MKOPO WA SUKARI CRYSTAL PALACE... apata ajira ya mwaka mmoja unusu

KOCHA wa zamani wa timu ya taifa ya England, Sam Allardyce amepata ajira ya mwaka mmoja na nusu kukinoa kikosi cha Crystal Palace kinachocheza Ligi Kuu England, kwa mujibu wa taarifa za klabu hiyo ya London.

No comments