KUACHWA KWA JULIAN DRAXLER NJE YA KIKOSI CHA WOLFSBURG MECHI YA BAYERN KWAMZIDISHIA KUHUSISHWA NA ARSENAL

KIUNGO Julian Draxler aliachwa nje ya kikosi cha Wolfsburg kilichoenda kuwavaa mabingwa wa Bundesliga, Bayern Munich Jumamosi iliyopita na kuchochea uvumi kwamba sababu ni kuwa anakaribia kujiunga na Arsenal Januari.


Arsenal wameripotiwa kumfukuzia kwa muda mrefu.

No comments