KUMBE DIVOCK ORIGI ALIITOSA MAN UNITED WAKATI ANA MIAKA 15


MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Divock Origi tayari ameshajenga jina uwanja wa Anfield. Hata hivyo nyota huyo raia wa Ubelgiji anadai kuwa alikataa ofa ya kwenda kujiunga na Manchester United alipokuwa na miaka 15 na kuamua kutua Lille Ufaransa kisha kuitosa Bayern Munich na kuamua kuweka kambi Liverpool mwaka 2014.

No comments