LEICESTER CITY WAPANIA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KIPA JOE HART WA MAN CITY

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu England, Leicester City wamepanga kufanya mazungumzo na mlinda mlango wa Manchester City, Joe Hart ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Torino kwa mkopo.


Leicester City wanataka kuachana na kipa wao namba moja, Kasper Schmeichel.

No comments