LIVERPOOL KUKATAA OFA YA WESTHAM KUHUSU DANIEL STURRIDGE... bado yuko katika mipango ya kocha Jurgen Kloppwadai

LIVERPOOL watakataa maombi ya Westham kutaka kumsajili Daniel Sturridge katika dirisha dogo Januari kwakuwa bado yuko katika mipango ya kocha Jurgen Klopp.

No comments