LIVERPOOL KUVUNJA BENKI KWA AJILI YA KUPAMBANA NA WESTHAM JUU YA GREGOIRE DEFREL WA SASSUOLO

UONGOZI wa klabu ya Liverpool unatarajiwa kuvunja benki kwa ajili ya kupambana na Westham ili kuwania saini ya nyota wa klabu ya Sassuolo ambaye anacheza nafasi ya ushambuliaji, Gregoire Defrel.


Liverpool imepanga kukamilisha uhamisho huo wakati wa Januari.

No comments