LIVERPOOL WAJIPANGA KUMCHOKONOA KOCHA BRENDAN RODGERS WA CELTIC... wajiandaa kutuma ofa kwa yosso Moussa Dembele

LIVERPOOL wako tayari kumjaribu kocha wao wa zamani, Brendan Rodgers kwa kutuma ofa ya pauni mil 20 kwa ajili ya kutaka usajili wa straika yosso wa Celtic, Moussa Dembele wakati wa dirisha la usajili la Januari.

No comments