LIVERPOOL WAPEWA NAFASI YA KUTWAA TAJI LA LIGI KUU ENGLAND MSIMU HUU

KOCHA wa Stoke City, Mark Hughes amedai kuwa kasi ya Liverpool na kiwango walichoonyesha msimu huu kinawapa nafasi ya kuwa miongoni mwa timu zinazoweza kutwaa taji msimu huu.

No comments