LIVERPOOL YASEMA IKO TAYARI KUMSAJILI GEOFFREY KONDOGBIA


KLABU ya Liverpool ipo tayari kuzama mfukoni kumsajili kiungo wa kimataifa wa Ainer Amilan Geoffrey Kondogbia wakati wa usajili wa Dirisha dogo Januari mwakani.

No comments