LUCAS DIGNE WA BARCELONA KUTUA LIVERPOOL USAJILI WA MAJIRA YA KIANGAZI


LUCAS Digne ni nyota wa Brcelona ambaye katika taarifa za usajili wa majira ya kiangazi anatajwa katika orodha ya kikosi cha Liverpool.

Kwa mujibu wa Daily Mirror mlinzi huyo wa kushoto wa mabingwa hao wa La Liga yupo katika kiwango kinachomvutia kocha Jurgen Klopp.

Dinge mwenye umri wa miaka 22 ameshamaliza kandarasi yake ndani ya Barcelona aliyejiunga nayo kwa ada ya uhamisho ya pauni mil 16.7.

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amekuwa akihusishwa na hatua ya kutaka kuachana na beki wake Christian Benteke.

Benteke nikama kafunguliwa mlango wa kiutokea na hatua yua Klopp kumfukuzia Digne ni kutokanana kutaka kuziba nafasi ya Linzi wa kushoto.


Tayari klabu za Aston Villa na West wamo katika pilika za kutaka kumwania Benteke na wameweka wazi kuhiytaji saini ya Mlinzi huyo.

No comments