LUCAS LEIVA YUKO HURU KUJIUNGA NA INTER MILAN KWA MKOPO

KIUNGO wa Liverpool, Lucas Leiva, 29, yuko huru kutimka na kwenda kujiunga kwa mkopo na klabu ya Inter Milan ya Italia.

No comments