MAJERUHI DANIEL STURRIDGE AMPASUA KICHWA KOCHA WAKE JURGEN KLOPP


KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp ameguswa na hali ya kuwa majeruhi kwa mshambuliaji wake, Daniel Sturridge lakini pamoja na hali hiyo, hajui mchezaji wake atakuwa fiti lini kurejea uwanjani.

No comments