MAKAMPUNI KIBAO YALILIA KUFANYA BIASHARA NA RONALDO

KILA kampuni kwa sasa inalilia kufanya biashara na staa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo.

Hali hiyo inajidhihirisha kutokana na idadi ya mkampuni ambayo yameingia mkataba na nyota huyo.

Ronaldo kwa sasa ana mkataba wa udhamini na makampuni ya Nike, Tag-Heuer, Sacoor Brother, Monter Headphones, MTG, Samsung, KFC, Emirate, Castrol, Herbalife, Poker Stars, ZTE, XTrade.com, Toyota, Armani, Unilever, Banco Espirito Santo, Mobily and Jacob & Co.


Makampuni hayo yanamwingizia nyota huyo mmilioni ya fedha kiasi ch kumfany uw na utajiri wa kiasi cha pauni mil. 191 (sh bil. 517).

No comments