MAN CITY YAKATAA KUMTOA JOE HART CHINI YA PAUNI MIL 20 KLABU ZA ENGLAND

UONGOZI wa klabu ya Manchester City umeweka wazi kuwa hauko tayari kumwacha mchezaji wa Joe Hart aondoke ndani ya klabu hiyo na kujiunga na klabu ya England kwa kitita cha chini ya pauni mil 20.


Mchezaji huyo kwa sasa anakipiga katika klabu ya Torino kwa mkopo.

No comments