MANCHESTER CITY WAIMARISHA “MANATI” KUMNASA PIERRE EMERICK AUBAMEYANG


MAN City wanaendelea kuimarisha mawindo yao ya kutaka kumsajili Pierre Emerick Aubameyang mara nyota huyo wa Gabon atakapoiachana na klabu yake ya sasa Borrusia Dortmund mwishini mwa msimu huu Real Madrid nayo iko mguu sawa kumsaka mchezaji huyo.

No comments