Manchester City iko mbioni kumnasa beki wa Southampton, Virgil van Dijk kwa pauni milioni 50 katika dirisha la Januari.

Mazungumzo  yamekuwa yakiendelea kwa wiki mbili ambayo yameiweka  City kwenye nafasi nzuri ya kukamilisha usajili wa nyota huyo wa kimataifa wa Holland.

Van Dijk mwenye umri wa miaka 25 anabashiriwa kuwa hatajivunga kujiunga na City itakayompa nafasi ya kucheza Champions League. USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac