MANCHESTER CITY YAGOMA KUSAJILI MCHEZAJI MPYA DIRISHA DOGO LA JANUARI


KLABU ya Manchester City haitasajili mchezaji mpya wakati wa dirisha dogo la usajili Januari mwakani huku mshambuliaji Gabriel Jesus akijiandaa kutua Palmeiras.

No comments