MANCHESTER UNITED VITANI NA EVERTON KUWANIA SAINI YA JOSE FONTE WA SOL CAMP

UONGOZI wa klabu ya Manchester United umejipanga kutaka kupambana na klabu ya Everton kwa ajili ya kuwania saini ya nyota wa klabu ya Sol Camp, Jose Fonte.


Klabu hizo zimeonyesha nia mara baada ya mchezaji huyo kugoma kuongeza mkataba mpya.

No comments