MANCHESTER UNITED YANZA MAZUNGUMZO NA BENFICA KWA AJILI YA VICTOR LINDELOF

UONGOZI wa klabu ya Manchester United tayari umeanza mazungumzo na klabu ya Benfica kwa ajili ya kutaka kumsajili nyota wa klabu hiyo ambaye anacheza nafasi ya ulinzi, Victor Lindelof. Jose Mourinho amedai kutenga kitita cha euro mil 30 kwa ajili ya mchezaji huyo.

No comments