ALIYEKUWA Mwimbaji tegemeo wa Five Stars Modern Taarab Mariam Mohamed maarufu kama Mariam BSS (pichani), amejiunga na Jahazi Modern Taarab "Wana wa Nakshi Nakshi".

Akiongea  Saluti5, mmoja wa mabosi wa Jahazi, Juma Mbizo, alisema Mariam BSS (Pichani) ni msanii wao mpya na tayari ameanza kuonekana jukwaani.

Mbali na Marim BSS, Jahazi pia imemrejesha kundini mpiga bass Rajab Kondo.USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac