MARIO BALOTELLI BADO HAJATULIA! ...alimwa red card


Mario Balotelli alitolewa nje kwa kadi nyekundu katika dakika za majeruhi wakati timu yake ya Nice ikilazimishwa sare ya 0-0 na Bordeaux kwenye Ligi Kuu ya Ufarsana (Ligue 1).

Sare hiyo inafanya Nice izidi kukaribiwa na Monaco kwenye msimamo wa ligi ambapo sasa inaongoza kwa tofauti ya poitni mbili. 

Mshambuliaji huyo wa zamani wa Liverpool na Manchester City alilimwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kumfanyia rafu mbaya beki Lewczuk.

No comments