MARSEILLE YATUMA WASHENGA ASTON VILLA KWA AJILI YA "KUMCHUMBIA" BEKI JORDAN AMAVI

UONGOZI wa klabu ya Marseille,umeweka wazi kuwa una tatizo katika safu yao ya ulinzi hivyo tayari wametuma wawakiishi katika klabu ya Aston villa kutaka kumsajili beki wa timu hiyo, Jordan Amavi.


Liverpool nayo imeonesha nia ya kutaka umsajili mchezaji huyo.

No comments