MAT HUMMELS ADAI ILIBAKI KIDUCHU AJIUNGE NA MANCHESTER UNITED


MLINZI wa kimataifa wa Ujerumani Mat Hummels amedai ilibaki alimanusura ajiunge na Manchester United kutoka Borrusia Dortmund kabla ya kubadilisha upepo na kutua Batern Munich.

No comments