MKESHA WA MWAKA MPYA: TWANGA PEPETA WAKO DODOMA NDANI YA PERUGINA CLUB


BENDI ya The African Stars “Twanga Pepeta leo usiku watakuwa Dodoma katika onyesho maalum la mkesha wa Mwaka Mpya.

Show hiyo itapigwa ndani ya ukumbi wa Club Perugina kuanzia saa 3 usiku hadi usiku mnene.

No comments