MOURINHO AJIPANGA KUANZA KUTETA EDINSON CAVAN WA PSG KWA AJILI YA MAJIRA YA JOTO

KOCHA wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho amepanga kutaka kufanya mazungumzo na nyota wa klabu ya PSG, Edinson Cavan kwa ajili ya kumsajili wakati wa majira ya joto.


Hata hivyo, klabu ya PSG imepanga kutaka kumuongezea mkataba mchezaji huyo.

No comments