MOURINHO ASEMA TATU BORA INAWAHUSU MANCHESTER UNITED

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho anaamini ytimu yake inastahili kushika nafasi tatu za juu Ligi Kuu England.

Mourinho amesema hakosi usingizi kushika nafasi ya sita kwani timu yake inacheza soka la kiwango cha juu lakini inakosa bahati.

“Nikiangalia timu nyingi zilizoko juu yetu kwenye msimamo wa Ligi, hazistahili kuwa pale kwani kwa kiwango cha soka tunazizidi,” alisema Mourinho.


Mourinho alisema kuwa matokeo ya uwanjani wanayoyapata ya sare nyingi, sio picha ya iwango chao cha soka.

No comments