MSHAMBULIAJI GABRIEL BARBOSA AFURAHIA MAISHA INTER MILAN... asema hana mpango wa kuachana nayo

MSHAMBULIAJI wa Inter Milan, Gabriel Barbosa ana furaha ya kutosha kwenye klabu hiyo ya Italia na kwa sababu hiyo, hana mpango wa kuondoka San Siro.

No comments