MWANAMUZIKI WA MSONDO NGOMA AFARIKI DUNIA


MPIGA trumpet wa Msondo Ngoma anayejulikana kwa jila Roki (pichani) amefariki dunia jana jioni katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Meneja wa Msondo Ngoma Said Kibiriti ameiambia Saluti5 kuwa Roki alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua. Mipango ya mazishi inafanywa.

No comments