MWIMBAJI ASIA MZINGA WA MASHAUZI CLASSIC AOLEWA


MWIMBAJI tegemeo wa Mashauzi Classic Asia Mzinga, leo mchana alifunga ndoa na mdau mkubwa muziki wa taarab Hamad Mmanga.


Ndoa hiyo iliyohudhuriwa na wasanii wengi wa Mashauzi Classic pamoja TOT, ilifungwa Mbezi jijini Dar es Salaam nyumbani kwa Bi Mwanamtama Amir ambaye ni mama mzazi wa Asia Msinga. Mwanamtama ni mwimbaji mstaafu wa TOT.
 Hamad Mmanga na Asia Mzinga muda mfupi baada ya kufunga ndoa
 Mkurugenzi wa Mashauzi Classic Isha Mashauzi akiwa mmoja wa mashuhuda wa ndoa ya Asia Mzinga
 Mwanamtama Amir mama mzazi wa Asia Mzinga
 Waimbaji wa Mashauzi Classic Rahma Amani (kushoto) na Saida Mashauzi na walikuwepo
 Baadhi ya wasanii wa TOT
 Baadhi ya wasanii wa Mashauzi Classic
Hamad Mmanga na Asia Mzinga

No comments