NEW AUDIO: “MAJUKUMU” KUTOKA KWA KAPOME …kazi ya mkono wa Mo Fire
HII ni kazi mpya kabisa kutuka katika studio za Fire Music jijini Dar es Salaam chini ya producer Mo Fire.


Wimbo unakwenda kwa jina la “Majuku” mwimbaji akiwa ni Kapome msanii kutoka lebo ya Lekam Entertainment.

No comments