KIUNGO wa Chelsea Oscar  atakuwa mwanasoka anayelipwa mshahara mkubwa zaidi pale atakapohamia Ligi ya China mwezi ujao. 

Oscar yuko mbioni kukamilisha usajili wa pauni milioni 52 kwenda  Shanghai SIPG mwezi Januari.

Nyota huyo wa Kibrazil anatarajiwa kulipwa pauni 400,000 kwa wiki na kuwaacha mbali Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ambao kila mmoja anakula mshahara wa pauni 365,000 kwa wiki.

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac