OZIL, SANCHEZ WAIDAI ARSENAL POSHO YA PAUL POGBA


NYOTA wa klabu ya Arsenal ambao wanafanya vizuri kwa sasa, Mesut Ozil na Alexis Sanchez wameitaka timu hiyo kuwaongezea kitita cha pauni 290,000 kwa wiki kila mmoja ili kuweza kufaana na nyota wa klabu ya Man United, Paul Pogba na bila hivyo hawaongezi mkataba. 

No comments