PAUL POGBA USO KWA USO NA KAKA YAKE LIGI YA EUROPA

NYOTA anayeshika rekodi ya kununuliwa kwa bei mbaya duniani Paul Pogba amepata bahati yake pekee katika soka.

Huwa inatokea mara chache sana ndugu kulkutana kwenye mashindano kama soka lakini hali hiyo imetokea kwa familia ya Pogba ambapo mtu na kaka yake watakuwa wanawindana uwanjani.

Baada ya makundi kupangwa ya hatua ya mtoano kwenye Europa League hatimaye Manchester United itacheza dhidi ya St Etienne.


Mechi ya kwanza inategemewa kuchezwa Februari 16 na ya pili itakuwa Februali 22 mwakani.

No comments