PEP GUARDIOLA AKANA KUFANYA MAZUNGUMZO NA ALEXIS SANCHEZ

KOCHA wa klabu ya Man City, Pep Guardiola amekanusha kufanya mazungumzo na nyota wa klabu ya Arsenal, Alexis Sanchez kwa ajili ya kujiunga na klabu hiyo wakati wa uhamisho wa Januari mwakani.

Taarifa zinadai kuwa kocha huyo alifanya mazungumzo mara baada ya kupachika mabao matatu dhidi ya Westham mwishoni mwa wiki.

No comments