PEP GUARDIOLA SASA APIGA HODI BORUSSIA KUTAKA SAINI YA LUKASZ PISZCZEK

BOSI wa Manchester  Pep Guardiola amepiga hodi katika klabu ya Borrusia na kutaka saini yua beki wa kati Lukasz Piszczek.

Katika hali ya kujiamini Pep ameanza mazungumzo na wakalka wa beki huyo kisiki katika Bendelsliga.

Manchester City imekuwa katika mbio za kumsainisha nyota huyo ni kutokana na mkataba wake wa kuendelea kusuka kikosi imara cha msimu ujao.

“Kizuri ambacho ni sifa ya ziada ni kwamba ni mzuri katika kupanga safu ulinzi hivyo ni mtu muhimu kwa sasa katika kiwango cha soka la Dunia,” alizungumza kocha.

No comments