PSG YAPANGA KUTETA NA VAN GAAL ILI KUCHUKUA MIKOBA YA UNAI EMERY

HUKU kukiwa na tetesi kwamba uongozi wa PSG unaweza kumfungashia virago kocha wake Unai Emery, inasemekana kuwa klabu hiyo imepanga kutaka kufanya mazungumzo na kocha wa zamani wa Manchester United, Louis Van Gaal kwa ajili ya kuchukua nafasi hiyo.

No comments