RANIERI AMTOLEA MACHO MAHREZ... amwambia "ukiremba umepoteza namba kikosi cha kwanza"

KOCHA wa Leicester City, Claudio Ranieri amemshukia mshambuliaji wake, Riyad Mahrez akimtaka aongeze bidii kinyume chake atapoteza namba kwenye kikosi cha kwanza.

No comments