ROB HORDING ATAKIWA KUONDOKA ARSENAL KWA MKOPO DIRISHA LA JANUARI

KUTOKANA na kukosa namba katika kikosi cha kwanza cha Arsenal, beki wa klabu hiyo Rob Holding anatakiwa kuondoka katika klabu hiyo kwa mkopo wakati wa uhamisho wa Januari mwakani.


Mchezaji huyo hadi sasa amecheza michezo mitano ya Ligi Kuu msimu huu.

No comments